naomba msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha sita

Nov 13, 2018
8
4
habari wana jamvi mimi naomba ushauri na msaada juu ya namna ya kupata kituo cha mtihani hapa Dar es Salaam na shule zipi zinazo toa huduma hii na gharama
 
habari wana jamvi mimi naomba ushauri na msaada juu ya namna ya kupata kituo cha mtihani hapa Dar es Salaam na shule zipi zinazo toa huduma hii na gharama
Nifate inbob nkusaidie kipo nakijua na wanafunzi wanaorisit n weng ko inaeza kukusaidia
 
Kama unania yakujisajili fanya haraka sana kabla dirisha halijafungwa,
 
Back
Top Bottom