Mbunifu Mgeni
New Member
- Feb 20, 2019
- 1
- 0
Msaada. Kuhusu kilimo cha tango ,, kinachukua muda gani mpaka kuvuna, udongo , hali ya hewa n.k
Mkuu naomba nisaidie tango linahitaji nini sana ili nijiandae nataka kulima hiyo bidhaaTango zuri la december😊..40-45days....!mbegu zipo nzuri z8po nyingi..hasa za rizikjwaan