Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

alex001

Member
Nov 23, 2022
20
10
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??

Naombeni msaada wa mawazo tafadhali
 
Electric engineering

Mechanical engineering

Biomedical engineering

Laboratory technology

Dentist

Radiology

Electronics engineering

Computer Science

MBA and MIM

Finance, International Business and Accounting.

Law

Architecture and Construction Management

Civil engineering

Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science.

Bachelor Degree in Marine Engineering Technology.

Bachelor Degree in Naval Architecture and Offshore Engineering

Bachelor Degree in Mechanical and Marine Engineering

Bachelor Degree in Oil And Gas Engineering (BOGE)
 
Bachelor of Veterinary Medicine
Bachelor of Pharmacy
Bachelor of Nursing
BSc IT
 
Labda Doctor of dental surgery, doctor of medicine na nursing NK. Hizi zitakufaa zaidi udom na muhimbili ndio vyuo vitakufaa. doctor of veterinary medicine (BVM) ya Sua tatizo ni soko dogo
La ajira
 
Ahsante sana kwa ushauri ntafanyia kazi
 
Electric engineering

Mechanical engineering

Biomedical engineering

Laboratory technology

Dentist

Radiology

Electronics engineering

Computer Science

MBA and MIM

Finance, International Business and Accounting.

Law

Architecture and Construction Management

Civil engineering

Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science.

Bachelor Degree in Marine Engineering Technology.

Bachelor Degree in Naval Architecture and Offshore Engineering

Bachelor Degree in Mechanical and Marine Engineering

Bachelor Degree in Oil And Gas Engineering (BOGE)
Mechanical Marine engineering nakaziaa
 
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??

Naombeni msaada wa mawazo tafadhali
Mimi nipo kwenye afya ila nna diploma nakushauri usome mojawapo kati ya hizi Radiology (mambo ya xray na ultra sound) Medical Lab
 
Wewe soma unachokipenda..huku kitaa ajira zilizopo niza bodaboda tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Electric engineering

Mechanical engineering

Biomedical engineering

Laboratory technology

Dentist

Radiology

Electronics engineering

Computer Science

MBA and MIM

Finance, International Business and Accounting.

Law

Architecture and Construction Management

Civil engineering

Bachelor Degree in Maritime Transport and Nautical Science.

Bachelor Degree in Marine Engineering Technology.

Bachelor Degree in Naval Architecture and Offshore Engineering

Bachelor Degree in Mechanical and Marine Engineering

Bachelor Degree in Oil And Gas Engineering (BOGE)
Hawezi kusoma kozi yoyote ya engineering akiwa ana background ya PCB kwa TANZANIA ya sasa.Hata BIOMEDICAL ENGINEERING hawezi kusoma
 
Bachelor of Veterinary Medicine
Bachelor of Pharmacy
Bachelor of Nursing
BSc IT
Jamani mwenye kujua zaidi kuhusu course hii: Bachelor of science in chemistry kuhusu soko lake na mazingira Gani mtu aliesoma kozi hii atafanya kazi. Natanguliza shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom