Naomba msaada kuhusu Carina SI

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
Mimi ni mgeni kidogo katika masuala ya magari. Nimepata Gari kwa mtu anataka kuniuzia Carina SI. Naomba mwenye experience na Gari hii aniambie huwa yanatumia mafuta kwa kiasi gani kwa kilometer na ni mambo gani mengine ya msingi napaswa kuyajua before sijampa hela.
 
Mpe tu ela kaka ilo Kiwese c Tatizo kabisaaa chakuangalia body ipo poa? Na chini akuna shida Ile mikelele ya mashow cup ipo poa Na engine aitingishiki endapo kama Ivo vote vipoo poa mpatie tu ela yake Na kama kuna ubovu flani umkate kwenye pesa yake ila mukubaliane Mwisho Ni gari ambayo ukitaka kuitengeneza inatulia (inatengenezeka)
 
Mkubaliane likileta or ukigundua tatizo ndani ya miezi mitatu unamrudishia until and unless uharibu mwenyewe or akutajie matatizo ya hiyo gari.

Hata hilo suala la mafuta ni yeye wakukujibu. after all unaweza kulitest namna linavyokunywa wese.
 
chukua,carina ti na si zote ulaj wa mafuta n mzur pia inatengenezeka,chek body kama bado liko vzr
 
Usichukue SI maana ina cc1800 wakati carina Ti ina cc1500, si inatumia mafuta zaidi ya ti, mi ningekushauri uchukue ti maana ni sawa na si utofauti upo kwenye ukubwa wa injini
 
Si inakula mafuta vizuri sana, ninazo ti na si napozitumia hamna tofauti kwenye mafuta
 
Back
Top Bottom