Naomba msaada kuhusu biashara ya Mbao au mazao ya misitu

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
838
1,000
Habari zenu wakuu,

Mwaka ndiyo hivyo tunauanza, mawazo safi ya biashara yanaanza kutokota.

Wazo la biashara ya mbao mahali nilipo haipo; nataka kuisogeza muongozo kwa anayeijua. Au kama kuna jamaa au rafiki yake niunganishe naye ili anipe ABC's za hiyo business.
  • Aina ya Mbao na bei zake
  • Ukubwa wa Mbao na bei zake
  • Transport costs

Naomba kuwasilisha.
 

Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,828
2,000
Boss wangu mbao ni mtaji mkubwa unahitajika, vibali, navyo sio rahisi kupata. Kuna jamaa hapa Dar alishusha pieces za mbao za mkongo kama 1000 alisema ametoa nje ya nchi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom