Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
Habari zenu members wote wa JF,nina maswali machache!mtu yoyote anaweza kunisaiidia mawazo,
1:nahitaji kujua ni ant-virus ipi ni nzuri ambayo naweza kuitumia katika computer yangu,kwasababu mimi ni mtu wa kudownload sana vitu,na nahofia sana virus kushambulia computer yangu,naomba kujua ni ant-virus ipi yenye vigezovifuatavyo
>rahisi ku-update
>strong(yenye uwezo mzuri kukamata wadudu)
nimekwisha jaribu ant-virus nyingi kama avasti,microsoft security essential,Avg,Kaspersky, na Norton internet security, lakini nimekua sina uhakika mpaka leo ipi ni program sahihi kwasababu sikuhizi hizi program zimekua ni nyingi sana na nahofia kwamba nyingi hazina quality ya kutosha kwasababu wanaotengeneza wanatengeneza kibiashara zaidi.