Naomba Msaada kidogo wa unlocking telegram net.

Darubini1

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
393
429
Nimekwama padogo sana na nimejitahidi kila kona mimi kama mimi, ila nimekwama.

Siwezi kutumia telegream app kwa bando la kawaida la mtandao husika katika hii nchi ya kiarabu, isipokuwa mpaka nikiwa ktk WIFI ya kazini, ambapo sina muda wa ku relax na simu zaidi mambo ya kazi.

Nilijaribu kuchukua WIFI router za mikataba ya post paid na makampuni husika still bila bila.
Telegram App. wameipiga pin huwezi ifungua mpaka katika WIFI.

Please my respectively GT. A needfully help will be much appriciated.
 
Ngoja wataalam waje mkuu watakusaidia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom