Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli nakataa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa
Kuambukizwa TB mpaka kinga ya mwili iwe imeshuka
Yapo magonjwa ambayo yanasababisha kinga ya mwili kushuka.
Mm nimehoji wagonjwa wa TB zaidi ya mmoja nikiwa na uniform za chuo tu, na sijapata TB hadi sasa.

Kwahyo jua leo kinga yako ya mwili ikishuka ni rahis sana kuambukizwa magonjwa mengi.

Na pia chanjo yako ya bega la kulia ni chanjo ya TB.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watu wanapata chanjo za TB toka watoto, inakuaje wao kupata tena ? Au chanjo inakua imeisha nguvu ?
 
Kinga ya mwili ikishuka, ndio unaweza kupata TB, na ni rahis sana kuambukizwa TB hata kama ulipewa chanjo hiyo

Ndio maana unaambiwa kuna magonjwa ambayo ni rahisi sana kupata mgonjwa wa VVU/UKIMWI
Lakini mtu ambae hana vvu ni ngumu sana kupata.
Kama watu wanapata chanjo za TB toka watoto, inakuaje wao kupata tena ? Au chanjo inakua imeisha nguvu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yeyote anaweza ambukizwa TB akiwa exposed kwa TB bacilli.Ila wale wale ambao kinga ya mwili ni dhaifu wako na risk kubwa sana ya kupata.Watoto,wazee pia wako na risk kubwa ya kupata maambukizi.Kila dakika kuna mtu anaambukizwa TB,tusijaribu kupotosha watu
Leo nimetoka kuongea na mgonjwa wa TB uso kwa uso, ngoja tuone kama nitapata TB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jukwaa.
Ni imani yangu mu wazima wa afya.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada

Mimi in kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Geita kijiji kinaitwa lwamgasa.

Nilikuwa nikifanya kazi kwenye migodi midogo ya dhahabu(ikumbukwe Mara nyingi tunafanya kazi kwenye mazingira hatarishi mfano vumbi,mwingiliano wa watu na urahisi wa kuambukizana magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa kama T.B).

Hivyo nilijikuta nimeambukizwa T.B,awali nilianza kukohoa taratibu,mwili ukawa unakosa nguvu na joto Kali wakati was usiku.

Hali hiyo ilidumu kwa muda wa miezi miwili na haikuathiri sana utendaji kazi wangu kwani nilikuwa nikienda kwenye dispensary napimwa na kupewa tu dawa za kuzuia kikohozi na mafua

Hali ilibadilika usiku wa tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka ambao tumeuaga Jana kwani nilikohoa mabonge ya damu,ikabidi niende hospitali ya mkoa ndipo wakabaini nina ugonjwa wa kifua kikuu.

Nilianzishiwa dozi ya vidonge vinne kwa siku kwa muda wa miezi miwili kabla ya kubadilishiwa dozi ya miezi minne ya mwisho

Nilizuiliwa kufanya kazi ngumu ,ikumbukwe kuwa maisha yangu yamejikita zaidi kwenye kazi ngumu kama kulima na uchimbaji wa madini.

Hivyo kiasi kidogo kilichokuwepo kama akiba nilimpa mke wangu aongezee kwenye biashara yake ya genge.

Kwa bahati mbaya sana mke wangu alikuwa mjamzito,pia nae nilimwambukiza hiyo T.B,ufanisi kwenye biashara ukapungua na mwisho akaacha.

Kukatisha urefu wa mada,nimejitokeza hapa kuhitaji msaada japo niweze kuhudumia familia yangu kwa huu mwezi mmoja wa matibabu uliosalia ili nisiitese familia yangu.

Nahitaji msaada wa laki moja ili ninunue chakula nikiwa nasubiri kumaliza dozi ili noendelee na kazi,akiba yangu imeniishia na mke ni mjamzito.

Kwa atakaye guswa 0755322031.

Cc @skyeclat Mshanajr Nifah GENTAMYCINE Jambazi @kassie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho,

Nimepata msaada kutoka kwa msamalia humu humu,kanitumia sh elfu 12,bado nahitaji msaada wenu
nenda kamuone afisa ustawi wa jamii atakusaidia
 
Mkuu njoo pm tushauriane nipo hapa MNEKEZI
 
Back
Top Bottom