Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

mkuu narudia Tz wanafunzi hawafundishwi sayansi bali historia ya sayansi.

ndo maana kupasua kichwa wakati waumwa mguu ni kawaida, asa huko kichwani walikuwa wanarekebisha nn?
Endelea na hizo dharau zako ila iko siku utaja jua umuhimu wa hao watu na hapo ndipo utakapong'amua ujinga wako ulikuwa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulize swali umewah kuongia kwenye word ya wagonjwa wa tb??

Chumba cha dactar anaruhusiwa kuingia mgojwa wa TB na doctor huwa anakuwa katka mavaz ya kawaida, mbona hakuna dactr aliye wahi kulalamika kuwa wagonjwa wa TB wanatuambukiza TB????

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwenda kibong"oto kuna wodi madokta hawaruhusu kuwaona wagonjwa nawao wamevaa mask kuanzia madokta hadi manesi utafikiri wapo operation room

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ambao wana magojwa ya kupelekea kinga ya mwili kushuka ndio, rahis kupata TB

Ila kwa mtu mwenye afya yake na anachimba mgodin hyo kitu haipo.

Ukitaka uamin.

Wodi ya wagojwa wenye TB watu wanaingia kawaida na kutoka, hata dactar akiwa anaongea na mgojwa wa TB anakaa nae hapa na hapa
wala haitaji kuwa na mask
manengelo

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wewe ndo unaelewa Vibaya hao tayari wameanza kutumia dawa hawawezi ambukiza lakini ambaye hajaanza unapata vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Daktar, ndugu yangu alifungwa gerezan, na uko akapatwa na TB sababu tu vyumba vile havina hewa ya kutosha na walalo umo ni wengi!!!

Hii imekaaje
Na nyumba isiyo Na hewa pia Ni chanzo kikuu cha TB sio gerezani tu hata mitaani Nina jamaa yangu aliumwa TB kwa mtindo huo alikuwa anakaa kwenye nyumba inahewa hafifu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa
Kuambukizwa TB mpaka kinga ya mwili iwe imeshuka
Yapo magonjwa ambayo yanasababisha kinga ya mwili kushuka.
Mm nimehoji wagonjwa wa TB zaidi ya mmoja nikiwa na uniform za chuo tu, na sijapata TB hadi sasa.

Kwahyo jua leo kinga yako ya mwili ikishuka ni rahis sana kuambukizwa magonjwa mengi.

Na pia chanjo yako ya bega la kulia ni chanjo ya TB.
Suriya nina mashaka na huo udaktari wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama alikaa nae akiwa hana mask kwa mala ya kwanza,
Kwa nn asiambukizwe??
Unataka akae nae mala ngap ndio aambukizwe?
Kumbe Dr anakuwa hajavaa mask kwa sababu anakuwa hajui kama yupo na mgonjwa wa TB!! Vipi kama akishajua, anaendelea kukaa hivyo hivyo kama ulivyosema huko awali. Mi naona unaanza kuzipinga kauli zako indirectly

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana ukiambiwa ukifanya ngono kwa kutumia kondom huwez ambukizwa ukimwi utavaa kondom kijikinga.
Lakin ukijua unae enda kufanya nae mapenz ni muasilika, lazima utafikilia kuto kufanya mapenzi nae kabisa

Kwa kuwa kinga ya kwanza ya kijikinga na maambukiz ni kutokufanya kabisa.
Mwanzo ulisema kwamba Dr na hata ndugu wa mgonjwa wanaweza wakakaa na mgonjwa bila shida yoyote na wasiambukizwe sasa hivi umeruka mita 100 kwamba Dr atakua amekaa na mgonjwa kwa kutojua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom