Naomba msaada katika hili

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
671
Tatizo lipo hivi nilijaribu kutumia codes hizi kwenye line zangu za tgo na voda madhara yake ni kwamba sipokei sms kabisa ila naweza mtumia mtu... nia masaa kumi toka nibonyeze hizi codes nimejaribu kuingia kwnye sms setting lakini wapi!!!
 

Attachments

  • 20200324_204214.jpg
    20200324_204214.jpg
    12.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom