Naomba msaada katika hii Sheria ya kidhibiti vitu wakati kesi ikiendelea

nkumbison

nkumbison

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,443
2,000
Naombeni msaada wa Kisheria.

Jamani niliibiwa vitu vyangu. hatimaye wezi wamekamatwa na baadhi ya vitu walvyoviiba walikutwa navyo.

Sasa unaenda mwezi wa tatu sijarudishiwa vitu vyangu naambiwa kesi bado ipo katika uchunguzi, huku vikiendelea kuharibika kutokana na mazingira ya utunzaji wa vizibiti ulivyo.

Naomba msaada nifanyeje ili nirudishiwe vitu vyangu huku kesi ikiendelea?

Nahisi kuvipoteza maana vinazidi kula vumbi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
3,842

Kama Shauri lishafunguliwa mahakamani kuna vifungu vya kuomba urudishiwe hivyo vitu wakati kesi ikiendelea, kikubwa ongea na mwendesha mashtaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom