emavalery JF-Expert Member Aug 7, 2014 628 1,237 Oct 11, 2021 #1 Habari ya leo JF Members, Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari. Eneo nitatafuta, natumaini ntapata msaada wenu wadau wa maendeleo. Asanteni.
Habari ya leo JF Members, Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari. Eneo nitatafuta, natumaini ntapata msaada wenu wadau wa maendeleo. Asanteni.