bado upo online?Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
good nilitaka kumwambia hivyo sema na yeye hakai onlineNenda kwenye NEW hapo kisha Gawa partition hapo kisha jaribu.
good nilitaka kumwambia hivyo sema na yeye hakai online
USIJALI fanya kama maelekezo aliyokupa jamaa hapoMkuu wangu samahani niliamkia kwenye michakato ya maisha
Kama unaweka windows 10 unaweza lazimika kubadili disk partition type japo siyo mara zoteUSIJALI fanya kama maelekezo aliyokupa jamaa hapo
Nenda kwenye NEW hapo kisha Gawa partition hapo kisha jaribu.
Ninapojaribu kufanya partition napewa huo ujumbe '' we couldn't create a new partition (Error :0x800745df)Kama unaweka windows 10 unaweza lazimika kubadili disk partition type japo siyo mara zote
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Katika stage ya hii error huwezi kupatition tena hadi uconvert kwenda gpt then ndio uweze kuipation upya. Sasa hapo inakuwa haina recognized file system kwenye temporary windows installation file.Ninapojaribu kufanya partition napewa huo ujumbe '' we couldn't create a new partition (Error :0x800745df)
Hapa sasa naweza pata maelezo anagalau kwa kifupi namna ya kuconvert kwenda gptKatika stage ya hii error huwezi kupatition tena hadi uconvert kwenda gpt then ndio uweze kuipation upya. Sasa hapo inakuwa haina recognized file system kwenye temporary windows installation file.
Nashukuru kwa maelezo yako nimeelewa vizuri naswali dogo mimi computer yangu hard disk yake ni ssd nikifuata hatua hizo ulizoorodhesha hapo itafanya kazi .....hii error inatokea pale window inaposhindwa kubadili hdd kutoka system ya gpt kwenda mbr. Simple solution na ya uhakika toa iyo hard disk iconnect kwenye computer nyingine kama external hdd au kwenye computer inayofanya kazi kama additional hdd then iformat kwenye ntfs file system. Irudishe then piga window kama kawaida. Kama unataka kufanya partition fanyia hapo hapo kabla hujairudisha kwenye mashine ya kupiga windows.
Samahani mimi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu hujaelewa uliza.
Mkuu asante sana, hapa sasa nimepata idea maana ulichokiandika hakitofautiani sana na mdau mmoja naye kasema hivyo hivyo ngoja nikafanyie kazi .Hutaweza kuiconvert kwa kutumia iyo computer unayopiga window. Inatakiwa utumie computer nyingine kwa kuweka hdd tuu then unaenda kweneye disk management unalocate hdd yako then unaangalia kama inasoma as gpt au raw. Then unacreate partition then unaformat kwenye ntfs
Poa poa. Utaleta mrejeshoMkuu asante sana, hapa sasa nimepata idea maana ulichokiandika hakitofautiani sana na mdau mmoja naye kasema hivyo hivyo ngoja nikafanyie kazi .