Naomba msaada jinsi ya kurudisha muamala wangu Airtel Money

kitonger

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
1,149
1,511
Habarini wakuu,saa 3 usiku wa leo nlihamisha 8500 kutoka airtel kwenda sportpesa, bahati mbaya nimekosea codes pesa ikaenda pasipojulikana. Nawezaje kuirudisha pesa yangu? Msaada wakubwa zangu..

Hii hapo chini ndo text iliyokuja immediately nlivyofanya muamala.

Screenshot_20210221-231044_Messages.jpg
 
Piga 100, fuata maelekezo , kuna maelekezo yanayohusu airtel money, bonyeza namba hiyo, kisha kuna maelekezo tu yatakwambia ukitaka kuongea na mhudumu bonyeza...
basi airtel wanazngua..hakuna kuongea na mhudumu..na nmengojea mpk mwisho mkuu..kama una airtel jaribu uone
 
Kwa upande wa huduma kwa wateja,Airtel ni zero.wahudumu wao hawako serious kabisaaaa.ukipiga saa 5 Hadi 6 usku utakuta wanakorota usngz wote.itaitaaa were mpaka utachoka.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Piga 100, fuata maelekezo , kuna maelekezo yanayohusu airtel money, bonyeza namba hiyo, kisha kuna maelekezo tu yatakwambia ukitaka kuongea na mhudumu bonyeza...

basi airtel wanazngua..hakuna kuongea na mhudumu..na nmengojea mpk mwisho mkuu..kama una airtel jaribu uone
emoji17.png
Kuna sehemu una jichanganya mbona nimepiga hadi nimefikia hatua ya kuongea na mhudumu?piga 100
basi airtel wanazngua..hakuna kuongea na mhudumu..na nmengojea mpk mwisho mkuu..kama una airtel jaribu uone
Kuna sehemu unajichanganya, tu, mbona nimepiga 100, hadi nimefikia hatua ya kuunganishwa na mhudumu?piga 100, then, bonyeza moja, utaambiwa chagua huduma , bonyeza mbili huduma ya airtel money, then bonyeza 2, kurudisha muamala!!kisha endelea kufuata maelekezo, mwisho kabisa utaambiwa bonyeza 9, kuongea na muhudumu!!kuwa makini unatakiwa kusikiliza hadi mwisho ndio unabonyeza namba ya huduma uliyotaka.KILA RAHELI
 
Kuna sehemu una jichanganya mbona nimepiga hadi nimefikia hatua ya kuongea na mhudumu?piga 100

Kuna sehemu unajichanganya, tu, mbona nimepiga 100, hadi nimefikia hatua ya kuunganishwa na mhudumu?piga 100, then, bonyeza moja, utaambiwa chagua huduma , bonyeza mbili huduma ya airtel money, then bonyeza 2, kurudisha muamala!!kisha endelea kufuata maelekezo, mwisho kabisa utaambiwa bonyeza 9, kuongea na muhudumu!!kuwa makini unatakiwa kusikiliza hadi mwisho ndio unabonyeza namba ya huduma uliyotaka.KILA RAHELI
asante mkuu..nimefanya hvyo.
ikifika press 1..kurudisha muamala..ninabonyeza 1..then wanaendelea na options za mbele as if sijachagua option yyte..Ila asante.
 
Utafanikiwa!!ikiendelea hivyo ni kuwa umebonyeza ila haijaingia unarudia tena kubonyeza!!keep trying
 
asante mkuu..nimefanya hvyo.
ikifika press 1..kurudisha muamala..ninabonyeza 1..then wanaendelea na options za mbele as if sijachagua option yyte..Ila asante.
Pole sana mkuu najua unapofeli, inapokuambia bonyeza 1 kama umekosea kutuma pesa Airtel kwenda Airtel usibonyeze hiyo bali bonyeza mbili kuwa umekosea kutuma hela mitandao mingine na hapo ndio itakapokuletea option ya kuongea na mhudumu.
 
shukrani mkuu..THREAD CLOSED.
 
Back
Top Bottom