KamyZee
Member
- Jun 25, 2020
- 6
- 0
Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you.
Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye combination ya PCM. Je, itawezekana? Na utaratibu wa kupata uhamisho ukoje? Naomba msaada kwa yeyote anayejua.
Natanguliza shukrani.