Naomba msaada jinsi ya Kupanga division na point kwa kutumia excel

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Nitawezaje kupanga divisions kwa kutumia program ya Excel ? Naombeni msaada wakuu.

Natanguliza shukrani.
 
Unaweza kutumia if au if(and( functions.
A. Kutumia if(and( function.
Fikiria mfano huu;
Marks. Divisheni
0-20. F
21-40. C
41-60. B
>60. A

Namna nzuri na rahisi ni kufanya kwa kutumia if(and function sababu yenyewe inaangalia extreme points zote. Formula utakayotumia ni
=if(and(A1>=0,A1<=20),"F",if(and(A1>=21,A1<=40),"C",if(and(A1>=41,A1<=60),"B","A")))

Nimetumia simu kuandika hiyo formula kama itakuwa na ishu usisite kuleta mrejesho.

Kutumia if peke yake next tyme nikiwa kwa keyboard ya pc.

Barikiwa.
 
ukishatambulisha "if(and("huitaji kuongeza tena IF mkuu,
 
kama we ni good expert wa Excel nenda kwenye help wakati mwingine kisha andika unachotaka kufanya kwenye search box,itakuwa vizuri sana kama utakuwa online sababu itakupa many assistance toka kwenye other sites...pia najua lazima utahitaji kufany ranking pia
 
ahsante sana Mkuu,
ngoja nitest ntarudisha feedback
 
inazengua sana Mkuu.
 
ukishatambulisha "if(and("huitaji kuongeza tena IF mkuu,

@ Ingeja: Ni wapi hapo ambapo if imetambulishwa baada ya if(and?
Nilichoandika hapo ni rahisi kutumia ni suala la kuongeza range kulingana na mahitaji....
Nasubiri mrejesho toka kwa mhusika...
 
Code:
=if(d6>=75,"A",IF(d6>=60,"B+",IF(d6>=50,"B",IF(d6>=40,"C",IF(d6>=30,"D",IF(d6>=20,"E","F"))))))
  • Chukulia kwamba alama za wanafunzi zipo COLUMN D
  • Copy na kupaste hiyo kanuni kwenye column E
  • Kisha drag katika column E kuelekea chini, hapo kila mwanafunzi atapata Daraja stahili.
Fanya editing ya kanuni kulingana na excell yako kwa kuondoa herufi "D" na kuweka herufi ya column yanye alama za wanafunzi
Nitawezaje kupanga divisions kwa kutumia program ya Excel ? Naombeni msaada wakuu.

Natanguliza shukrani.

Unaweza kutumia if au if(and( functions.
A. Kutumia if(and( function.
Fikiria mfano huu;
Marks. Divisheni
0-20. F
21-40. C
41-60. B
>60. A

Namna nzuri na rahisi ni kufanya kwa kutumia if(and function sababu yenyewe inaangalia extreme points zote. Formula utakayotumia ni
=if(and(A1>=0,A1<=20),"F",if(and(A1>=21,A1<=40),"C",if(and(A1>=41,A1<=60),"B","A")))

Nimetumia simu kuandika hiyo formula kama itakuwa na ishu usisite kuleta mrejesho.

Kutumia if peke yake next tyme nikiwa kwa keyboard ya pc.

Barikiwa.

ukishatambulisha "if(and("huitaji kuongeza tena IF mkuu,

ahsante sana Mkuu,
ngoja nitest ntarudisha feedback
 
@ Ingeja: Ni wapi hapo ambapo if imetambulishwa baada ya if(and?
Nilichoandika hapo ni rahisi kutumia ni suala la kuongeza range kulingana na mahitaji....
Nasubiri mrejesho toka kwa mhusika...

Hapo mkuu uluipo anza na formula ya If(and(...then kuanzia logic zinazofuata hazikuhitaji matu,izi mengine ya If..mfano nikama hapa kwenye formula yako;=if(and(A1>=0,A1<=20),"F",if(a nd(A1>=21,A1<=40),"C",if(and(A 1>=41,A1<=60),"B","A"))),

ilitakiwa kuwa kwamfumo huu..If(and(logic 1),(logic2).......))....Mtazamo wangu huo mwanajamvi
 
Code:
=if(d6>=75,"A",IF(d6>=60,"B+",IF(d6>=50,"B",IF(d6>=40,"C",IF(d6>=30,"D",IF(d6>=20,"E","F"))))))
  • Chukulia kwamba alama za wanafunzi zipo COLUMN D
  • Copy na kupaste hiyo kanuni kwenye column E
  • Kisha drag katika column E kuelekea chini, hapo kila mwanafunzi atapata Daraja stahili.
Fanya editing ya kanuni kulingana na excell yako kwa kuondoa herufi "D" na kuweka herufi ya column yanye alama za wanafunzi

hii formula itakuwa ndefu na inaweza isikupe majibu accurate mwalim,hii inafaa pahala ambapo logic zina same relation naweza sema lakini matumizi ya if(and( yenyewe hufanya mgawanyo au uhusioano wa logic moja na nyingine
 
nimefanya lakini inaniambia the formula entered contains some error,
then ina highlight kwa black colour kwenye daraja ''A''
 
Excel ni spreadsheet yenye nguvu na uwezo mkubwa. Kama ingekuwa inatengenezwa na kampuni ya kitanzania basi hii kitu ingekuwa intergrated kirahisi. Ziltan Mwl.RCT INGENJA na wengine msipate tabu sana. Hii kitu nimeirahisisha kwa kutengeneza program inayoitwa ACSEE Professional ambayo ni spreadsheet program kama excel inafanya calculation hizi kwa ufasaha na haraka, pia ina features nyingine nyingi sana ambazo zinamsaidia mwalimu katika mchakato mzima wa kuandaa matokeo. Kama alivyodokeza C6 na chief-mkwawa mnaweza kudownload program hii kupitia hapa

bado sioni sababu ya watu kutoitumia program hii na kung'ang'ana na excel au bado watu tuna kasumba ya kudharau vitu vya ndani hata kama vinafaa!!!!!

Pia kwa kipindi fulani nimekuwa nikiongeza baadhi ya feature mbalimbali. Kitu cha muhimu ambacho nimekiongeza ni "BRN System" kwa kutumia mfumo huu unaweza kuchagua kutafuta matokeo kwa kutmia mfumo wa zamani au huu wa sasa wa BRN. Kitu kingine cha msingi ni summary ambayo itakusaidia kupata summary ya matokeo mfano div 1 zipo ngapi n.k bila kupoteza muda.

angalia video hii

Last edited by a moderator:

sipingani nawewe mzazi ,nafurahi kwa hatua ulioifikia japo sijapata wasaha wakuipitia kiundani zaidi almost umeji bbind kwenye Excel features,still you have done a great job mzee
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutumia if au if(and( functions.
A. Kutumia if(and( function.
Fikiria mfano huu;
Marks. Divisheni
0-20. F
21-40. C
41-60. B
>60. A

Namna nzuri na rahisi ni kufanya kwa kutumia if(and function sababu yenyewe inaangalia extreme points zote. Formula utakayotumia ni
=if(and(A1>=0,A1<=20),"F",if(and(A1>=21,A1<=40),"C",if(and(A1>=41,A1<=60),"B","A")))

Nimetumia simu kuandika hiyo formula kama itakuwa na ishu usisite kuleta mrejesho.

Kutumia if peke yake next tyme nikiwa kwa keyboard ya pc.

Barikiwa.

Mkuu inaonyesha unaelewa vizuri kuitumia excel,....nami naomba unitoe jinsi ya kupanga position.mfano mwanafunzi 1 hadi wa mwisho kama watakuwa wanafunzi 4000. wanapangwa kulingana na wastan wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom