Asante sanaKama ni kuhusu kulipia mitihani nenda kwenye menu-my application kisha chagua mitihani unayotaka kufanya ukimaliza procedure zinajieleza juu utaona neno linaloashiria malipo sikumbuki vizuri limeandika pay nw au ni nini, km unatumia pc huwa vitu vinadisplay kwa urahis zaid