NAOMBA msaada jinsi ya kubadili my profile name

nenda Pm.
Watag watu hawa , Jamiiforum, moderator,PAW or invisible waelezee kwamba unataka kubadilisha username mfano.
Tafadhali.....naomba kubadilisha username yangu kutoka ya sasa ambayo ni Masabula kwenda.....eleza na sababu za kufanya hivyo then subiri ndani ya siku mbili au tatu mambo yatakuwa tayari.
Nawasilisha uzi najua wataalamu kina king kong Demiss manengelo nawengine wenye ujuzi na uelewa kuhusu hili mtanisaidia
 
Back
Top Bottom