Naomba msaada jinsi ya ku-confirm chuo

saiz

Member
Jul 27, 2021
26
45
Samahan wakuu,

Ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
 
Mbagala stendi

JF-Expert Member
Nov 8, 2020
217
250
Kama upo multiple selection Una login kwenye account ya application ya chuo husika chochote kile ulichochaguliwa then utakuta kuna option 2 click here to confirm or ask to send confirm code utaclick option moja wapo hi ni baadh ya vyuo Kama UDOM hila vyuo vingine ukisha login utaclick sent confirmation code ukibovya utaandika namba yako ya simu then TCU itakutumia sms yenye code then utarudi kwenye account utaiandika hiyo code utaisubmit.
 
Ok saw shukran cna
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom