Naomba msaada jamani niokoke

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Awali nimshuru mungu kunijaaalia uzima mimi na Aila yangu na wewe unaesoma uzi huu.

Wakuuu katika nchi yetu ya tanzania lazima uwe na angalau Idear ya Afya na Sheria bila ya hivyo ww utakua ni mtu wa Tabu kila siku.

Msaaada ninaohitaji nahitaji sheria zote za Madai, Jinai Sheria za Kazi na mikataba ila ziwe zimetafsiriwa kwa KISWAHILI.

Nadhani nimevutika kulisoma hili somo.

"Palipo na udhia penyeza rupia"

Sina tatizo nasemo pale nikiwa na uwezo.

NB: Msemo unamaanisha niko tayari kulipia.
 
Mkuu mahirtwahir ingia hapa: Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa
Chambua mahitaji yako kule, kama utapungukiwa acha comment itashughulikiwa, au kama ni dharura ni PM
 
Back
Top Bottom