Naomba msaada jamani mwenzenu!

Maseke ya Meme

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
725
988
Jamani mimi natafuta kazi Amerika (US or Canada) na nimefanya effort nyingi kufuatilia lakini naona either napata info ambazo sio sahihi au process inanichanganya. Nahitaji msaada wenu wanaJF

Nina Bachelor of science in nursing na experience ya nursing clinical, teaching, management, supervision etc kwa miaka 10+ sasa. Ntaka kuhama hapa nyumbani lakini naona rucruiting companies hazina sana interest na Tanzania lakini majirani zetu wanaenda sana. Naomba wanaJF wenye mapenzi mema wanihost waliopo huko as a friend or a student kwa I-20 itakayonipatia VISA. Ninaweza kuraise 5Million Tshs with my pension to cover costs za kunisaidia na kupata legal documents. All i need is your directions so as to amke me settle and be registered to work there. I prefer enrolment to any school but if any possiblities are there just nisaidie directions.

If you can also refer me to a workable source of info naomba jamani. I know it pays over there and also I want to do masters course huko.

Nawakilisha jamani!!
 
Kwa sasa hivi nafanya kazi kama M&E officer wa kanda kwenye American NGO moja hapa bongo
 
Back
Top Bottom