Naomba msaada jamani jinsi ya kupima DNA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada jamani jinsi ya kupima DNA

Discussion in 'JF Doctor' started by Andrew Nyerere, May 27, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,026
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Ningependa kufanya uhakiki kuhusu DNA yangu,ili nijue kwa uhakika baba yangu ni nani.DNA inapimwa wapi? And how much does it cost? If I cannot afford the cost,anaweza kutokea Good Samaritan kunisaidia?
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,772
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Mh! We unatafuta m.a.t.a.k.o ya nyoka sasa! Vipi unahisi kuna mdingi ndo babako tofauti na mzee wako? Au anamshiko nini? Achana na mawazo hayo. Otherwise nenda ustawi wa jamii watakupa mwongozo sahihi.
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona watuwengine wanapenda kujitia BP? unawasiwasi wa nini? ebu ongea na mzazi wako wa kike ndio atakupa SIRI ...
   
 4. m

  mob JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 1,787
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  jaribu kupitiia sheria inayoitwa HUMAN DNA REGULATORY ACT 2009 itakueleza kwa upana
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,026
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Okay,nimeipata. Hii DNA regulatory act 2009 inasema kwamba kama unataka kupima DNA unatakiwa kuwaandikia regulatory authority,and that is all. Kwa sababu nimekuwa challenged by a family member niende kupima DNA. nIMEMWAMBIA,''Kwa nini nikapime,kama mtu anataka kupima DNA yangu,it can be done,kumbuka Bill Clinton na Monica Lewinsky...
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  haya mkuu na kutakia mema safari njema
   
 7. m

  makondeko Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pcr for paternity issues in tz is only chini ya mkemia mkuu wa serikali na gharama yake ni laki 3
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,348
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  mhh! lakini weye si mtoo wa kwanza wa mwalimu nyerere inamaana kuna mgogoro ndani ya family ... tafadhili uje na majibu basi...
   
 9. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,930
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Gharama unaweza kutumia laki tano then unagundua mtoto siyo wako utafanyaje mtazamo wangu bora uache
   
 10. N

  Neylu JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mmh...Sema ukweli, au unaenda kumpima mwanao ili ujue kama kweli ni wako au umeibiwa?
   
Loading...