Naomba msaada, Injiini gani ya gari niweke ili isile mafuta sana?

inzovu

Senior Member
Oct 5, 2016
138
49
Gari yangu ni grande mark 2 gx 90 injin yake ni six cylinder cc 1987 sasa inatumia mafuta sana nilitaka nibadilishe injini naomba ushauri injini nzuri ya kubadilisha ambayo itakua na unafuu wa mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo funga injini ya 3S-GE hii imetumika kwenye Toyota Caldina, Rav4,Noah,Mark 2,Cresta na Chaser gr80. Hii ni 4 cylinder na ina 1980cc.

Pia unaweza ukafunga engine ya 7A Kama ya kwenye Carina SI hii ina 1780cc na ni 4cylinder.

Mkuu hizi ni injini rafiki kwa shida na raha,spea bei nafuu na hazina magonjwa hutosikia habari za sensor kufa wewe hata ukipita kwenye maji huna hofu.

Kama engine haitokaa vizuri, mruhusu fundi afanye modifications usiogope maneno ya watu kila kitu kinawezekana.
 
Gharama zote hizo za kubadili engine ni za nini boss wkt hata thamani ya Gari zima(Gx 90) haizidi 2mil.
 
Tafuta engine ya Yutong au Higer zipo vzr, au uikate iwe pickup itapendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Pickup
tapatalk_1578676719324.jpg
 
Gharama zote hizo za kubadili engine ni za nini boss wkt hata thamani ya Gari zima(Gx 90) haizidi 2mil.
Mkuu hapo hakuna gharama maana engine hiyo ni nzima hivyo ataiuza na kununua nyingine au hatafanya mabadilishano na kuongeza pesa kidogo.

Hiyo thamani ya gari hata kama ni ndogo yeye itakuwa ni gari anayoipenda hivyo yupo tayari kuihudumia ili iwe barabarani.
 
Bado haiqualify hustles zote hizo boss kwa market value ya gari yenyewe.

Hivi ulishawahi kwenda kuuza engine yako kwa wauza ma spea used ukasikia bei zao?Unaweza kutamani hio engine uiache ndani kwa bei utakayotajiwa.

Nilishajionea haya kwny 1g-fe,it isn’t worth.
 
Mkuu hapo hakuna gharama maana engine hiyo ni nzima hivyo ataiuza na kununua nyingine au hatafanya mabadilishano na kuongeza pesa kidogo.

Hiyo thamani ya gari hata kama ni ndogo yeye itakuwa ni gari anayoipenda hivyo yupo tayari kuihudumia ili iwe barabarani.

Ufafanuzi mzuri mkuu,mfano nikitaka kubadili engine ya GDI io naweza kuweka engine gani na ikafaa mkuu maana naona matengenezo ya GDI ni ya mara kwa mara lakini pia kama mafundi inawazingua sana
 
Hapo funga injini ya 3S-GE hii imetumika kwenye Toyota Caldina, Rav4,Noah,Mark 2,Cresta na Chaser gr80. Hii ni 4 cylinder na ina 1980cc.

Pia unaweza ukafunga engine ya 7A Kama ya kwenye Carina SI hii ina 1780cc na ni 4cylinder.

Mkuu hizi ni injini rafiki kwa shida na raha,spea bei nafuu na hazina magonjwa hutosikia habari za sensor kufa wewe hata ukipita kwenye maji huna hofu.

Kama engine haitokaa vizuri, mruhusu fundi afanye modifications usiogope maneno ya watu kila kitu kinawezekana.
7A inaweza kusukuma bodi ya GX100?
 
7A inaweza kusukuma bodi ya GX100?
Inaweza, 7A inazalisha nazani 110hp itashindwa wapi?
kuna moja niliikuta Mbeya mjini imefanyiwa modifications ikawekewa 7A na ilikuwa inafanya kazi vizuri.

Siku tunaicheki kwa kufungua boneti kulikuwa na madereva bodaboda wakawa wanashagaa uwazi uliobaki eneo la engine.
 
Back
Top Bottom