Naomba Mnisaidie Wazoefu

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Ulikuwa na Mpenzi, ndio mlikuwa pamoja kukidhi haja za kimwili japo hata hamkupendana Kihivo.

sasa katika uhusiano wenu labda kwa mfano mwanaume kuna vitu ulimpa huyo mwanamke je mkiachana kuna haja ya kudai vitu vyako? au labda ni kumwacha navyo tu.

nisaidieni maana sipati jibu katika hili!
 
Sijawahi kumdai mwanamke kitu hata kama hela nilimkopesha


Tukiachana na mawasiliano yanaisha labda anitafute yeye kwa sababu maalum
 
huoni haya kuuliza,ulivyokuwa unalala ulijua apewe vitu na nani?
 
Kuna wanaopiga hesabu mpaka ya nauli ya daladala
Haha labda sio wanawake wa huku kwetu .... tena mkiachana unatakiwa uchunge maneno maana ukijichanganya utashushuliwa...

Ndiyo ile niguse hata kidogo unitoneshe hadi utosini.
 
Muachie tu na sidhani kama ni uungwana kuvidai ulivyompa kwa sababu wakati unatoa ulitoa kwa moyo wako pasi kushinikizwa hivyo muachie tu we songa mbele.

Hiyo ni sehemu katika mapenzi hivyo ukiwa ni mwenye wale wenye bahati mbaya utajikuta kazi yako kudai kila unayeachana naye kwa sababu mapenzi ni pamoja na kusaidiana na hakukwepeki.
 
ingekua rahisi ungezitaja hizo "vitu" ulizompa....ila kwani si ulimpa bila kulazimishwa..na pia yeye alizokupa kma zipo amekudai?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom