si umuulize ama?
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani naombeni msaada wenu nini cha kufanya!..
akufukuzaye hakwambi ondoka utaona vituko mtu mzima unaguna mmmhh yamkwisha
tupa kule kama hataki hata kukuona mtafute mwingine atakuwa ameishapata mwingine
https://www.jamiiforums.com/mahusia...386-guys-mnaoacha-girls-wenu-kimya-kimya.htmlMwenzio yalinikuta mwaka flani nilikuwa na demu kama wewe akaanzisha vituko kumbe tunashare.nikamwacha kwa kumwambia sikutaki nimekuchoka, akatokea kunichukia mpaka leo.naona dawa yao kuwaacha kimyakimya
Ukiona manyoyaaa...
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani naombeni msaada wenu nini cha kufanya!..
Inawezekana bana!