Naomba mnisaidie wadau!

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
35
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani naombeni msaada wenu nini cha kufanya!..
 
Jibu ni kuwa hutakiwi sisi hatuna msaada labda uhame jukwaa uende kule love connect uanze upya.
 
tupa kule kama hataki hata kukuona mtafute mwingine atakuwa ameishapata mwingine
 
Mwenzio yalinikuta mwaka flani nilikuwa na demu kama wewe akaanzisha vituko kumbe tunashare.nikamwacha kwa kumwambia sikutaki nimekuchoka, akatokea kunichukia mpaka leo.naona dawa yao kuwaacha kimyakimya
 
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani naombeni msaada wenu nini cha kufanya!..

Finger on trigger,thats the uptown living.
 
mmh ndugu ni wazi hakutaki tena.

so kama vipi tafuta ustaarabu mwingine , hapo utajiumiza buree.

na shida ya kupenda usikopendwa ni kwamba unakuwa experience maumivu tu mwanzo mwisho upande mwingine haujari wala hata kuguswa na unachoumia!
 
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani naombeni msaada wenu nini cha kufanya!..

Your case sounds familiar...kuna moja ilintokeaga miaka ya nyuma....she was too silent with me, hajibu my calls or texts, its as if she kynda lost interest & love in me but cha ajabu mimi kila nikitaka kuachia ngazi niende na tym zangu yeye ndio anarudi na alalama hataki tuachane and dat ananipenda.....nikirudi tena after a few days anafanya tena yale yale. Nikajiuliza maswali mengi huyu mtu inakua vp ??? Kuja kufanya uchunguzi nikaja kujua alikua kaniweka kwenye mizani na kijamaa chake kingine...na kwa kua mi si mgeni na wanawake nikapiga chini mazima nikaendelea na time zangu.
I have another woman in my life, ...i kind of think this will be the best investment i will ever make in my life.

Ushauri:
Usi invest kwa watu wasio jielewa. Achana nae, we songa na life yako. Best is yet to come.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom