Naomba mnisaidie vitu muhimu kumchukilia mtu dhamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnisaidie vitu muhimu kumchukilia mtu dhamana

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mansakankanmusa, Aug 11, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  nataka msaada usiku huu nijiandae wakuu


  natanguliza shukran zangu, niko chini ya miguu yenu wakuu

  plz
   
 2. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadhamini wawili waajiriwa wa taasisi yoyote ya serikali na mwingine wa kawaida mwenye barua ya mtendaji wake inayomruhusu kumdhamini mtu. Hao waajiriwa wawe na vitambulisho na barua kutoka kwa waajiri zinazowaruhusu kumdhamini mtu. Ila kama mdhaminiwa anadaiwa zaidi ya mil 10, lazima awe na kitu kama hati ya nyumba ili aweze kudhamiwa! Shida haina adabu, magereza ni ya wote, na wewe unasubiriwa! Wishing u lucky!
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Asante kwa elimu hii mkuu.
   
 4. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kua makini and don't take a chance! Ni vizuri ukawa na wadhanini waajiriwa wa serikali zaidi ya watatu kama utaweza na kua makini kitu unachoweka kama dhamana kiwe hakijawekwa bond mahali popote! Kua na hela ya kutosha mfukoni incase ikilazimu kuchakachua mambo! I am speaking from experience!
   
 5. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,668
  Likes Received: 2,156
  Trophy Points: 280
  Hakuna kigezo cha kuwa na wadhamini wawili walioajiliwa.
  Hata hivyo mtoa mada jaribu kuwa wazi kuhusu madai au tuhuma dhidi ya mshtakiwa kwan thaman ya dhaman inategemea aina ya tuhuma.
  Pia sidhan kama mchangiaji wa kwanza anafahamu sheria au hayupo serious!
   
 6. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  mkuu ungetoa wazo lako,jibu lako..mtuhumiwa amekutwa na miraa na kucheza kamali
   
Loading...