Naomba Mnisaidie:Natafuta Kijiji/Mtaa Unaokaliwa Na Wana Chadema Pekee Bila Kuwepo Interahamwe.

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Wanajukwaaaa,naombeni msaada wenu jamani.
Maana huu ndio ukweli wenyewe kuwa natafuta kijiji au mtaa wenye wanachadema pekee wasio na chembe ya roho ya usaliti,wasio rubunika na c.c.m,
na wenye weledi wa nini msingi wa harakati hizi za ukombozi wa pili kwaajili ya kupigania haki za wanyonge wa nchi hii.
Nisaidieni jamani nipo tayari kuhama hatakama kijiji hakina huduma bora za kijamii nipotayari ili niwe huru kwaajili ya ukombozi.
Nitafanya kazi kubwa zaidi ya martin luther king,n.mandela,mahandra gandh,j.k nyerere,kwame nkurumah na wengineo wengi.
Maana hiyo ndiyo njia pekee ya mimi kuwakomboa wanyonge hawa wanaonyonywa na huu mfumo fisadi wa kic.c.em.
Nasema nimechoka,sitaki na sipotayari kufumbia macho maovu yaliyofanywa na
'epa,richmond,meremeta,green dip,kagoda,dowans&symbion,rada,mabilioni ya jeikei,tra&ewvura,screow account,jairo's scandel,madawa ya kulevya,nyara za serikyali na mwisho sitakiisikia syeriakyali butu na mbovu iliyopoteza uhalali wa kuongozaa raia wake.
Nisaidieni jamani!
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,921

nenda ufipa mtaa waliopo chadema ila utashanga mtaa na eneo lote wana ccm wengi kuliko cdm
 
karatu78

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
212
195
NGAIBARA KARATU kjj pekee tz iliyempitisha mgombea wa cdm bilakupingwa 2009 naccm.atamwka huu itawezekana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom