Naomba mnisaidie kuzuia UVAMIZI wa Appk ya Vskit kwenya simu yangu

Tareeq

JF-Expert Member
May 3, 2010
828
407
Kwa nguvu yoyote wana Jamii naomba mnisaidie kuzuia UVAMUZI wa Appk ya Vskit kwenya simu yangu, Ni adabu mbaya sana appk hii Kiiila niki BLOCK Huja tena na tena kwenye uso wa simu ambayo bando ni langu na mimi si mpenzi wa wanayoyainyesha nimetumia OPERA MINI ambayo ni Adds free lakni inaendelea kutokea kiiila mara Nifanyeje hii kitu SIITAKI KUIONA????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jaribu hizi options mbili hapa chini. Anza na ya kwanza ,ikikataa basi ya pili lazima ifanye kazi.

Kwanza hilo tatizo linatokana na kuwa uli install bila kujua apk file ya app inayopush ads, hii huwatokea wengi wasiofahamu hili wakati wakiwa wanaperuzi mtandao kwa kutumia browsers mbalimbali,sasa ukiwa una peruzi unaweza kujikuta unabonyeza mahala fln thn ki apk kina jidownload(huwa ni vidogo sana kama kb 200 hv) so kinachukua mda mfp kudownload na kinainstall. Solution hapa ni ku uninstall hivyo/hiko ki apk,. Tumia hizi njia

1)Ingia settings->Apps kisha angalia kwenye list ya apps kwa umakini kama utaona app yyt ambayo ina jina la ovyoovyo lisiloeleweka au app ina jina tu na haina icon basi fanya kuuninstall hio app coz hizo ndio hua zinapush ads.

Kama usipoiona app ya hivyo au unajaribu kuuninstall inakataa(Kama sio system app, like playstore etc...) basi ujue hio app inawezekana imefichwa au ina administration permissions, So ili kuitoa kibabe go to option two hapo chn

2)Fanya factory restore (Japo hata hii inaweza isiitoe kama simu yako ni mtk, yaan tecno, itel au viwa. Ila uwezekano wa kuitoa ni 80%) au flash kabisa hio simu.
 
Kwanini ateseke hivyo, yeye adownload eset nod antivirus itamkamata huyo shwaini within a fraction of seconds maana ni adware! Mwanzoni nilitumia kaspersky kuondosha matangazo ya kipuuzi ila kwa sasa naona kama haina nguvu ila Eset Nod ndio kiboko yao!
 
Kama ni Akina tecno au simu yeyote nenda kwenye Simu pale kwenye File hasa la simu sio la Memory card tafuta. Ingia download file utakuta app nyingi futa zote ambazo huna kazi nazo. Kama ukikosa hapo nenda kwenye file la Document au Anroid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom