Naomba mnisaidie kupata bei ya dhahabu kwa gramu

butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,283
7,306
Ndugu wanaJF naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua wapi soko na bei ya dhahabu kwa gramu.Msaada tafadhari.
 
Duuh!!,mtafute bwana katunzi,yeye ndio mtaaalamu wa hayo madini
 
Gram 1 ni sh. 60,000/= sonara kwa machinga ni 55-57 bei hii ni kwa geita na maeneo ya karibu.
 
Dhahabu kwenye soko la dunia sasa inacheza kwenye $ 1100 kwa OZ 1 ambayo ina gram kama 32. Kwa hiyo $1100*2100=2,310,000 ambayo ukigawanya kwa 32 unapata gram mmoja ni kama Tzs 72,000 lakini kwa sababu wewe utaiuza locally nadhani aliyesema Tzs 60,000 per gram yupo sawa
 
Back
Top Bottom