Naomba mnisaidie jinsi ya kuitambua NGO iliyosajiliwa na Serikali

Frankiebonie

New Member
Sep 9, 2020
3
1
Habari zenu wana JamiiForums,

Kama mnavyojua utapeli umekuwa mwingi zama hizi. Nilikuwa naomba kwa yoyote anaweza nisaidia ni kwa namna gani naweza itambua Asasi Isiyo ya Kiserikali (NGO) iliyo sajiliwa na kutambulika na Serikali.

Na pia nawezaje kuitambua NGO fake? Yaani Isiyo tambulika na Serikali.
 
Back
Top Bottom