Zephiline F Ezekiel
Member
- Nov 10, 2015
- 21
- 36
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
Sio la saba, nilifika mpaka 4m 3Unaweza kukuta ulimaliza darasa la saba
Ni MATAHIRA
Hata wewe haupo sahihi,inatamkwa/inaandikwa Mataahira.Unaweza kukuta ulimaliza darasa la saba
Ni MATAHIRA
Unamkejeli mwenzio kumbe na ww umekoseaUnaweza kukuta ulimaliza darasa la saba
Ni MATAHIRA
Naitumia hapa👉 Mataahira WawiliTuambie Unatakakuitumia wapi kwanza,ndio tukusaidie.
Kama ni kwa maccm basi inayotumika ni hiyo isiyo sahihi, kuonyesha msisitizo!