Naomba mnipokee

Karibu ila epuka kuanzisha thread za kipuuzi, epuka kutafuta umaarufu wa kijinga
Sina itikadi hizo mkuu, zaidi napenda kujifunza, na kuelimisha pale ninapokuwa na uelewa na suala husika.
 
Umejuaje kwamba huku tunaitana wakuu? Wewe siyo mgeni wewe..........anyway! Warmly welcome
Hilo kawaida maana nilikuwa msomaji mzuri tu wa thread za jf japo nilikuwa sijawa member kwa usajili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom