Naomba mnijuze matumizi ya gesi ya Mtwara tangu imegundulika na faida inayopatikana nchini

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Habar za jion wanajamvi,

Leo imeniuma sana Mara baada ya kuwa nje ya nchi, na kukutana na mwenyej wangu, ktk story za hapa na pale akatokea kuniuliza swali ambalo limeniumiza mnoo

Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza, mwenyej huyu ilifika mahala akasema nyinyi watanzania, kwel mungu akuwanyima vyote akawapa Mali 90% na ujinga 10%

Any way , wenyeji Wa mkoa Wa mtwara na wajuzi Wa mambo naomba mnijuze juu ya faida za gesi yetu ya mtwara faida zake.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya 60% ya umeme unaotumia umetokana na gas hiyo pia viwanda vingi sana inatumika.
 
Hapo kwenye asilimia ujinga ametupunguzia na hatukubali atuongezee
Habar za jion wanajamvi,
Leo imeniuma sana Mara baada ya kuwa nje ya nchi, na kukutana na mwenyej wangu, ktk story za hapa na pale akatokea kuniuliza swali ambalo limeniumiza mnoo
Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza, mwenyej huyu ilifika mahala akasema nyinyi watanzania, kwel mungu akuwanyima vyote akawapa Mali 90% na ujinga 10%

Any way , wenyeji Wa mkoa Wa mtwara na wajuzi Wa mambo naomba mnijuze juu ya faida za gesi yetu ya mtwara faida zake.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

get well soon tl
 
Ujenzi wa ile plant ya LNG umefikia wapi?
Kujenga LNGP sio kama kujenga banda la kuku, zinahitajika zaidi ya trillion 10 kwenye hiyo project so lazima serikali iwe makini kwenye mikataba kati yake na wawekezaji ili mwananchi afaidike, tusiende kama kwenye mikataba ya dhahabu baadae tuanze kulaumiana.
 
Wachina ambao ni mabwana wa CCM ndiyo wanyfaikaji wakubwa wa vitalu vya gesi huko Mtwara.
 
Back
Top Bottom