Naomba mnijuze kama kuna mtu kafutiwa eligible tcu leo?

Jamani,mbona mimi nina mdogo wangu anadai kila akilog in inagoma account yake,ama nyie mna log in kupitia website gani ya TCU?
 
Dah me course ya kwanza imekua not eligible then natumia phone na umeme umekatika, ila kuna dem baba ake anafanyia ofisi ya rais alimchekia akamwambia amepata Ud PSPA, sasa mambo yanavobadilika inamaana selection bado.?
 
Naomba unisaidie kunipa website hiyo ya TCU ambayo wewe umetumia ku login,maana mdogo wangu ameshapanic huku kwamba inamgomea kuingia account yake!
 
Dah me course ya kwanza imekua not eligible then natumia phone na umeme umekatika, ila kuna dem baba ake anafanyia ofisi ya rais alimchekia akamwambia amepata Ud PSPA, sasa mambo yanavobadilika inamaana selection bado.?

acha kudanganywa nawe ukadanganyika,kwan huyo babake kufanya kazi ofic ya rais na kujua kila kitu?bac kama ndo hvo atuambie kaangalizia wapi yeye na ce 2kaangalie!selection bado bana
 
Acha ubishi wa vijiweni huyo dem toka 2ko O level matokeo yake alikua anayapata mapema hata ya 4m 6 aliambia ana 1.8, na ikawa hivo.
 
wewe ndo una story za vijiweni,otherwise ungemuulza jinsi ya kuangalia hzo selection.vinginevyo sisi tunauchukulia huu kama udaku wa magazeti ya shigongo.
 
Usiseme sisi sema mimi, hata hivyo sikulazimishi uamini ungeweza kukaa kimya kuliko kuleta uchafu wako hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom