Naomba mnijuze kama kuna mtu kafutiwa eligible tcu leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba mnijuze kama kuna mtu kafutiwa eligible tcu leo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BONANJE, Jul 28, 2012.

 1. B

  BONANJE Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nime login leo tcu,nakukuta zilizokuwa elible zimetoweka na kuwa eligible zingine
  (yani kinyume chake vp wengine?) maana kuna wengine wameshata chuo yeyari mf.kairuki.Nisaidieni nijue.
   
 2. j

  joji19 Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  nimepata habari zisizo rasmi kuwa selection zimeshatoka ila hazija uploadiwa kwenye mtandao bado! but pia nasikia zimebandikwa kwenye baadhi ya vyuo, so kama upo near ya vyuo ulivyo apply kacheki au kama una mtu wa karibu mtaarifu akuchekie. ila kwa hili sina uhakika kama ni kweli is just nimeambiwa tuuuu. kwa aliye karibu na chuo chochote afanye yakeee basi ilinasisi tulio porini tujue hali halisi.

  kwa ambalo na uhakika nalo, cause mimi nime receive mail ya kairuki so far, niki login sioni jipya lolote, ila kama nilivyo kwambia mwanzo bado selection hazipo mtandaoni bado ila kwa kairuki nasikia wa mebandika walio wachagua notice board, kwa aliye karibu na chuo hicho pls atu thibitishie basi
  :israel:
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  vp kuhusiana na mkopo hawaja ambatanisha pamoja
   
 4. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata me mpaka jana zote zilikuwa eligible, bt leo kuna 1 nimeandikiwa not eligible, xaxa tatizo ni nn? Mbona hawakuweka not eligible toka mapema?
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mmh !! mambo ni magumu kwelikweli hata mimi Bachelor of Vertenary Medicene nimekuta imeandikwa not eligeble wakati hapo mwanzo ilikua Eligeble.! Sijui hawa jamaa wanamaanisha nini?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Angalau hata,kumbe tuko wengi.
   
 7. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mimi pia nawashkaj zangu wa3 option ya kwanza imekuwa not eligible..!
   
 8. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha... Hata me ni ya kwanza! Au ni tatizo la kiufundi?
   
 9. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  hata mimi ni hiyo hiyo first choice kaaaziii kweli kweli
   
 10. j

  joji19 Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hawaja ambatanisha may be nikipata nafasi nitawaibukia
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  xana 2 jeymbe
   
 12. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wakuu hebu jaribuni kuchek for eligibility..itarudi kuwa eligible
   
 13. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mimi naiman itakua ni technical problem,nakumbuka cku chache zilizopita kuna caurse zilifutwa then zikarud tena,leo tena nachek ma fast choice naambiwa not eligible akati b4 ilikua eligible!!! nadhan ni netwek tu..tusihof..
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Me naona TCU wamezidiwa na mzigo eti iliyokua eligible ambayo ni 1st choice imekua not eligible na iliyo kua not eligible ambayo ni 7th choice imekua eligible, Zingine zote ziko kama ilivyo kua. Nime chek for eligibility mambo yamekaa fresh na ile 7th choice imeludi kua not eligible
   
 15. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  daah kaz kwel kwel hata mm frst choice eti leo ndo imekuwa not eligible ya pale udsm!!
   
 16. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ahhahahahahhaa kwel tcu n pasua kichwa yaan hamuwez amini imekuwa tena ilegible!!!
   
 17. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata me imekuwa tena eligible!
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  umefanyaje?
   
 19. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  oya mi mwenyewe ilikua not elgbl nimechek for eligility imekua eligble!
   
 20. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  same here isharudi !!
   
Loading...