naomba mnijuze juu ya huu ugonjwa wadau

isinkini

Member
May 7, 2011
43
10
kuna ugonjwa unaitwa raynaud's phenomenon/disease.wenye ufahamu juu ya huu ugonjwa naomba mnijuze jamani kwanzia vinavyosababisha, dalili zake, vipimo vyake, matibabu yake na hata madhara yake.
nawasilisha
 
Jaribu kugoogle utapata taarifa nyingi tu kama ugonjwa huo upo

nimejaribu kugoogle kabla ya kupost lakini maelezo niliyopata kama hayanitosha vile na ndoo maana nikaomba kama wapo wenye kujua zaidi ya hapo wanifahamishe
 
Mwenye kuhujua huo ugonjwa amsaidie mkuu, sawa amejaribu ku-google lakini kakwama kalugha ka Malkia ni kagumu kidogo
 
Nime google nikaona kwamba,huu ni ugonjwa ambao unasababisha sehemu za mwili kama vile pua,vidole,macho zinakuwa hazipati damu ya kutosha sabubu vi mishipa vidogo ambavyo vinapitisha damu katika sehemu hizo vinakuwa vimesinyaa,mtu anakuwa anaskia ganzi sehemu hizo.na katika saa moja inaweza ikamtokea mtu kwa mara moja,husababisha na kuishi sehemu yenye baridi,au mshituko(stress)wakati mwingine,dalili ni kwamba sehemu hizo tajwa zinakuwa na rangi nyekundu.na wakati mwingine zinakuwa na rangi ya blue.muone daktari kama una dalili hizo.(mimi nimesaidia kutafsiri tu,i hold BA.ED)thank you.
 
asante sana mkuu! nimeona pia katika mojawapo ya vyanzo kama sijaelewa vibaya ni kama ugonjwa wa kurithi vile, ningenda kujua kama kuna other causes of the disease, clinical features, laboratory/and or other investigations which can be done to confirm the diagnosis. also treatment and complications which can develop followig delayed treatment. je hizo color changes which are in the sequnce of white-blue-red ndo diagnostic criteria?
nilitaka kujua hayo sababu kuna mgonjwa anahisiwa kuwa na shida hiyo japo hizo color changes kama hazijaonekana vile na kaenda hospital kaishiwa kugongwa neurobion mara kadhaa na kupima blood sugar and serum electrolytes.
 
Back
Top Bottom