Naomba mnijuze ipi tofauti ya wanaume wa Musoma na Songea?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Ndugu zangu wa JF
Natambua wote Ni Wabantu na Wazalendo wa nchi yetu nzuri Tanzania.
Pamoja na ukweli huo je Ni ipi tofauti ya Msingi baina ya Wanaume wa Musoma na Songea?
Karibuni kwa michango.
 
Tofauti ni kwamba wa Songea si wa Musoma na yule wa Musoma si wa Songea
 
Tofauti ya mtu mmoja na mwingine inatokana na alivyozaliwa na malezi aliyokulia
Kabila halina mchango, watu wa Songea hawapo uniform kitabia na watu wa Musoma hawapo uniform kitabia pia, so ni ngumu kulinganisha makundi haya mawili

Watakujibu watu hawa wapo hivi wengine wapo hivi, ila usitilie maanani
Maana ukitilia maanani na kuchukulia ndio vigezo vya kumpa mtu kazi au kumuoa au kuolewa nae utakua dissapointed, i guarantee you
 
Wanaume wa musoma wengi hawana misimamo ni rahisi sana kukugeuka. Wengi waogawaoga na wanapenda kutumia silaa. Wanapenda pesa yani unaweza mgeuza kwa hela
 
Wanaume wa musoma wengi hawana misimamo ni rahisi sana kukugeuka. Wengi waogawaoga na wanapenda kutumia silaa. Wanapenda pesa yani unaweza mgeuza kwa hela
Tupe mifano hai basi ili na sisi tujilidhishe na hii pointi yako mkuu
 
Back
Top Bottom