Naomba mnijuze hii labour charge kama nimepigwa au laaaah!!!

Kufanya kaz Kwa kulipa kila siku fundi 25 na msaidiz 10 wanunulie chakula pia. Still bado utapigwa tu! Fat kanun hiyo
 
Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

 
Usije ukadanganyika Mzee, labda awe fundi wa mchongo, kama amekuambia hivyo nenda nae huyo. Labda uombe punguzo sio mbaya. Bei ya kupaua pekee nyumba full kama hiyo huwa sio chini ya Million, kwa mafundi wazuri inaanzia 900k-1.4m inategemea na design hapo mkomalie apige na blundering na fascia boards. Hiyo bei ni reasonable kabisa labda omba punguzo muangalie mnalindanaje.
Hizi ndo point
 
Natumai mu wazima.

Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.

Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni master),
Sebule, dinning, jiko na choo.

Kazi mbili za kujenga boma na kupaua, kaniambia labour charge ni Milioni Mbili.

Wakuu, hii gharama inastahili tu nifanye naye kazi au amenipiga niachane naye?

(Picha hapa chini ni kazi niliyoiona ameifanya huyo fundi sehemu ingine)
View attachment 2091267
LIPA HELA ACHA KULALAMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom