Naomba mnijuze hapa HELSB inanidai kiasi gani?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Nimeingis kwenye Loan Repayment menu na nimeona kama ifuatavyo ila sijui nadaiwa kiasi gain.
Screenshot_20210702-044003.jpg
 
Nje ya topic. Hiyo huduma naweza na mimi angalia kiasi ninachodaiwa?
 
Unacho daiwa ni hio Provisional loan balance 5,077,575
Umesamehewa karibia million 4 kutoka ktk hio 9M
 
Hebu nisaidie mana deni la salary slip ni 7,693,732
Deni la salary slip sio halisi nadhan baada ya muda wanaweza kulifuta na kuweka deni halisi. Watu wote deni la salary slip ni tofaut na deni halisi la loan board. Kwa uhakika zaid nenda HESLB wata print deni lako halisi bure.
 
Back
Top Bottom