naomba mniambie major five challanges in life

kila mtu na zake, Wamasaki wana zao na sisi wambagala tunazetu we ni wapi?
 
Challenge zinategemea mambo mengi kama
1. Umri.
2. Mahitaji yako.
3. Mazingira yanayokuzunguka.
n.k.
 
Kwa upande wangu ukizungumzia challenge za maisha,ni hakika haziwezi kuwa sawa.
Ila kuna changamoto ambazo zinakuwa zina wakumba watu wa rika moja. Na mimi nadhani wewe utakuwa kijana. Hivyo basi. Changamoto zinazomkumba kijana yeyote yule ni kama;
1. Kupata ajira. Na ajira ninayoizungumzia hapa ni ile yenye uhakika na ni aidha kuajiriwa au kujiajiri.
2. Kupata au kujiendeleza kielimu.
3. Magonjwa mf. Ukimwi,kisukari,n.k
Naweza nikasema hizo ni challenge ambazo zitakuwa zinamkumba kijana yeyote wa kiafrka. Lakini Challenge uwa zinatofautiana kutokana na sababu kadhaa mf. Umri,background ya mtu,na mazingira.
 
Challenge zinategemea mambo mengi kama
1. Umri.
2. Mahitaji yako.
3. Mazingira yanayokuzunguka.
n.k.

ungekua unaandka mambo ya maana kama haya uloandka leo,ningekua nakupa shikamoo daily.
 
1- masomo.
2- kupata kazi uliyokuwa ukiiota.
3- mapenzi(kupata mke/mme mwema) n.k n.k
huwa kila mtu aliweka/huweka changamoto zake hatufanani.
 
Kwa upande wangu huwa naona ni kupata MKE/MME mwenye sifa na heshima za kuwa BABA au MAMA.
 
umeulizwa na mwalimu wako. hebu fungua home page ya jf, hiyo list ya majina ya forums na zenyewe challenges.
 
Kwa mimi naomba niongeze hapo moja, nayo ni kunyimwa mkopo ingawa una vigezo sawa na waliopata.
 
Kila mtu ana challenge zake, yangu mimi kwako yaweza kuwa kichekesho/haina maana. Kwa mfano challenge moja kwa ma"vegetarians/wasiokula nyama" ni kukomesha ukatili wa kuuwa wanyama kwa kisingizio cha chakula. Lakini kwa wapenzi wa kubugia nyama bila shaka hiki ni kichekesho kwao. Wanayo yao mengine ya maana zaidi yanayowahusu. Jitafiti unataka nini ktk maisha ili ufurahi, na hizo ndo "major challenges" kwako. Ishi maisha yako and enjoy!
 
Kwa upande wangu huwa naona ni kupata MKE/MME mwenye sifa na heshima za kuwa BABA au MAMA.

Aisee ktk watu wenye upeo mdogo wa kufikir nawe ni mmoja wao ila bado najiulza ulifikiria nini kuingia kwenye hii JF-THE HOME OF GREAT THINKERS cz naona ktk maisha unawaza kupata mke/mme na si vinginevyo.Jarbu kufikiria kwa upana changamoto zingine!.
 
Back
Top Bottom