benedictor
Member
- Oct 12, 2011
- 19
- 3
jamani nina shida moja nataka kujua challange tano katika maisha
Challenge zinategemea mambo mengi kama
1. Umri.
2. Mahitaji yako.
3. Mazingira yanayokuzunguka.
n.k.
Challenge zinategemea mambo mengi kama
1. Umri.
2. Mahitaji yako.
3. Mazingira yanayokuzunguka.
n.k.
mzee, safi sana. Leo umejitahidi kuongea point.
ungekua unaandka mambo ya maana kama haya uloandka leo,ningekua nakupa shikamoo daily.
Kwa upande wangu huwa naona ni kupata MKE/MME mwenye sifa na heshima za kuwa BABA au MAMA.
Leo kijana naona umekuwa mabo ya kitoto yanaanza kuondokaChallenge zinategemea mambo mengi kama
1. Umri.
2. Mahitaji yako.
3. Mazingira yanayokuzunguka.
n.k.