Naomba mniambie kuhusu TIA Mbeya nimechaguliwa huko

Njoo men mimi pia jiran ako uku mchana jua kali ila usiku baridi ya kufa mtu vumbi kwa Sana na Hali ya maisha c kama Zaman imepanda xn japo ni chini kuliko dar A town na mwanza ila chuo n kizur so karibu xn mkuu
 
Wale wa tia naombeni mnieleweshe mazingira ya tia mbeya itakuwa mara ya kwanza kwenda huo mkoa
Karibu sana green city, kipo katikati ya mji , ni sehem nzuri sana , mbeya maisha simple sana ila atmospheric condition ni vile yaani baridi Kali sana
 
Baridi nitaliweza tu sina jinsi coz nimekaa sana dar nahitaji kuchange maisha
 
Back
Top Bottom