Naomba mkopo, dhamana ipo,

Wakuu naombeni mkopo wa 200,000 dhamana ipo. mwenye uwezo au kujua ninapoweza kupata naomba anijuze, dhamana ni smart tv inch 43 na frij

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela kama hizo zinaatikana Mpawa, kule airtel wana Timiza loan na hata tigo sasa, ni laini yako tu na ukongwe wa kutumia Airtel, voda na tigo basi....humu njoo kuomba ushauri namna ya kutumia hela
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom