Naomba mjadala wa wazi na Zitto kuhusu usaliti ndani ya chama

Status
Not open for further replies.
Mkuu Sir R, kama na wewe nyumbani ni Singida, pole sana!. Ili mtu ushinde inategemea unagombea wapi na unagombea na nani?!. Kama unagombea maeneo yenye dhiki, shida, njaa na umasikini uliotopea, no matter how good you are, mwenye nacho ndie atashinda!. I'm very sorry kukuambia Singida ni moja ya maeneo hayo!.

Kufuatia dhiki hizo, shida, njaa na umasikini uliotopea, automatically wengi wa wananchi wa maeneo hayo hujikuta ni ignorants wa politics, wao wanasikilizia tuu ahadi na matumbo yao, yoyote mwenye chochote ndio huyo!.

Nimekuwa nikisema humu siku zote kuwa CCM imekuwa ikishinda kwa ku take advantage ya ignorance ya Watanzania, na maeneo yenye dhiki, shida, njaa na umasikini uliotopea ndio strong hold ya CCM!, ile T-shirt na kofia na shibe ya siku moja, inatosha kuyabadili matokeo haswa ya maeneo ya watu wasio na misimamo thabiti kama Singida!.

Angalia maeneo yenye ehueni kidogo, ndiko wameweza kuwachagua wapinzani, ila kuelekea 2015, wapinzani wengi zaidi wataingia bungeni, ila kutokana na kiwango cha dhiki, shida, njaa na umasikini uliotopea, kwa 2015 overall bado ni CCM!.

Huyu jamaa ni kichuguu tuu kwenye mambo ya fungu, anashindana na lile jimlima, amepata kura 3,000 mwenzake 20,000 leo ndio amlaumu Zitto?!.

Lissu ni habari nyingine, japo na yeye ni majanga fulani, ila kiukweli ni kichwa mbaya!.
Pasco.

Pasco shukrani kwa maelezo.

Sitokei Singida, kwetu karibu na Singida kwa hiyo nawafahamu sana wanyiramba wa Singida vizuri. Ni kweli wana matatizo mengi sana. Si watu wenye haraka ya kufanya mabadiliko, wanahusudu sana wenye fedha.

Pamoja na hayo yote, si vema kuwadharau kiasi hicho, kama kweli ZZK alishiriki katika hujuma hizo kafanya vibaya, alipaswa kuungana na wenzake haka kama CDM isingeshinda, ingeleta mtikisiko kwa CCM. Inawezekana Zitto kapunguza kura ya mgombea wa chama chake.

Tuchukulie mfano wa Jimbo la Arusha mjini, Lema na CDM hawakuwa na fedha ukilinganisha na CCM. Timu ya CCM ni kubwa sana ukilinganisha na ya CDM, zaidi ya yote CCM ina uzoefu mkubwa sana.

Katika mazingira yote hapo juu Lema alishinda. Kwa hiyo siasa ni mchezo unaobadilika sana.

Usiwahusudu na kuwaabudu sana wenye fedha mpaka ukajiona wewe ni kichuguu. Ni kujidalilisha. Siasa ni kupambana daima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom