Naomba mjadala wa wazi na Zitto kuhusu usaliti ndani ya chama

Status
Not open for further replies.
Isango,
Huyu msaliti hawezi kuja. Wewe funguka tu ili waungwana tujue. Walah mimi sitakubali huyu zigo kobe aharibu furaha yangu. Siipendi ccm, furaha yangu ni kukiona kinashindwa lakin kwa sasa huyu msaliti anakisaidia.
 
yuko manchester united mfuateni huko hafai kuwa kiongozi amejaa uccm tumemsutukia.
 
Kuna Mijadala Mingi inaendelea, ya wazi na isiyo ya Wazi. Mingine inaumiza, mingine ya Kipropaganda, mingine ya kuchafuana, mingine ya watu wasiojua nini kinaendelea, mingine inafadhiliwa.

Ninaomba kwa sasa kama kweli Zitto sio msaliti, Mimi ambaye namheshimu sana kama Kiongozi katika Chama changu, ambaye muda mwingi nilimpa fursa ya kuja St. Augustine University kama Kiongozi kuja kuhutubia, tumempa heshima, tunamsheshimu lakini naona sasa anachotaka kuwaaminisha watanzania mara zingine kimekuwa na utata. Licha ya mimi kujitoa katika mijadala mingi inayohusu mambo hayo anayodanganya kwa kumheshimu, sasa naona haoni aibu.

Zitto ajitokeze sasa aseme kuwa hakumsaidia Mohamedi Dewji Mbunge wa Singida Mjini wakati wa uchaguzi Mkuu 2010, ajitokeze na Dewji Mwenyewe tuweke mjadala huu wazi kwa manufaa ya nchi yetu.

Nimechoka. Ukweli utatuweka huru, tunahitaji mabadiliko

funguka tu hakaji
 
Kuna mwingine alikuja juzi hapa kasema alimrekodi Zitto akifanya mavitu na mwanamke USA toka tumuombe ushahidi kaingia mitini hajarudi,mnatishia kujamba wakati mnaharisha? Jambeni tu na maji yamekatika
 
Last edited by a moderator:
zk ni mikakati yake akafie mbali na kisiasa.

Isango zk kachanganyikiwa kwa kuwa anajua chama kimeshamfuma live na watanzania anadhani wanadanganyika.
We ushangai

1.Aliyepeleka barua ya Kujiulu eti anakata rufaa.
2.Aliweka mpaka wakili na kusanyiko Serena KUJIBU tuhuma ambazo hajaandikiwa.
3.Tuhuma anapewa anakata rufaa mamuzi hayajatoka.
4.Anatoa tamko la yeye kusema anasemewa na wakili ziara za dr hujuma hasira hajawatuma haziungi mkono wakati dr amepambana ushindi umetawala wanajitokeza.
5.Anachofanya hakuwa anafanya kabla usaliti haujabainika na ssm wanamsapoti siasa hata za kuheshimu chama akawa na viongoz wa kitaifa mbona dk anaenda na timu ye anajiona so special na anajua kumbe ni wakina dv 5 wa kisiasa

MUDA UTAMKATA MAPEMBE Wait time will jurge
 
Sisi wafwasi wa siasa tusiokuwa na chama tunashika mikono yetu shavuni kwani mnatufazaisha nyinyi wapambe wa pande zote jaribuni kuwaelimisha viongozi wenu wajaribu kusameyana kwani kisamehe humjenga mtu na kumuinuwa kitukana sio kujenga bali mnabomowa na kutukatisha tamaa ss wafwasi wasiasa
 
Sasa zitto ana nguvu gani hp nchini mpk aache jimbo lake akamsaidie MO

Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Hakuna mjadala Zitto ni msaliti namba moja akishirkiana na CCM kuichakachua CHADEMA lakini ameshtukiwa mapema mchana kweupe na ndo maana muda mwingi maccm wametumia kumsaidia huyu pandikizi.

Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Ni mawazo ya Gongo wanayo ipigia debe. Naona anataka kusema kua Mo alikopeshwa pesa ZZK!

Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Zitto anajiona ni genius na watanzania wote ni wajinga na mazuzu wasioelewa mambo!!

Mwisho wa Zitto utakuwa mbaya sana,kashapindikizwa udini na mkulu!!!

Zitto sio mdini. Hapo namtetea. Hata ukitazama team yake wengi ni wakristo. Wapambe maslahi kama kina Pasco nao wengi ni wakristo. Misukule yake ya kiislam hushadadia tu kwa vile katikati ya majina ya Zitto kuna jina Zuberi. Lakini hata wao wanajua kuwa Zitto na masjid ni marafiki wasiopendanda. Wanajua mwenendo wa Zitto nje ya mambo ya kisiasa ni kharamu tupu.
Wanaomfahamu Zitto watakueleza nani alimpa Juliana Shonza aliyefukuzwa Chadema kama mbwa mtaji wa kisaluni chake wakati anasoma UDSM.
Wanaomfahamu Zitto watakueleza 'undugu' alionao Zitto na dada Mhonga Ruhanywa.

Wanaomfahamu Zitto watakueleza alichofanya mara baada ya kuingizwa kwenye tume ya Bomani.

Wanaomfahamu Zitto watakwambia Matajiri walioficha mihela Uswisi wamemfanyaje Zitto.

Mwishi uta make judgement out of hizo riports na kujua kama Zitto ni muislam kweli au muislam kwa jina la Zuberi.

Kuna wakati zitto hutaja udini cdm. Huwa anafanya hivyo anapozidiwa na mashambulizi. Akitandikwa barabara mitandaoni huja na ishu za udini. Lakini ndani ya nafsi yake anafahamu hakuna mdini cdm. Ukiacha Prof Safari na Dr. Slaa ambao wanaheshimu sana imani zao waliobaki ni waumini 'poa'. Hata chembechembe za dini hawana.

Zitto sio mdini..
Hawezi kuwa mdini..
Hana room ya kufanya udini
 
Last edited by a moderator:
mzito kabwela, well said man. cdm hakuna udini maana hakuna watu wanaojali dini zao. ni majina tu lakini wengi wao hawajui hata milango ya nyumba za ibada.
 
ZZK ki ukweli amepauka kisiasa pamoja na MISUKULE WAKE Uvccm akina Mtera, Gwanchele, Chagulani, Shonza, Nyakalungu, Mchange na m
 
Kuna Mijadala Mingi inaendelea, ya wazi na isiyo ya Wazi. Mingine inaumiza, mingine ya Kipropaganda, mingine ya kuchafuana, mingine ya watu wasiojua nini kinaendelea, mingine inafadhiliwa.

Ninaomba kwa sasa kama kweli Zitto sio msaliti, Mimi ambaye namheshimu sana kama Kiongozi katika Chama changu, ambaye muda mwingi nilimpa fursa ya kuja St. Augustine University kama Kiongozi kuja kuhutubia, tumempa heshima, tunamsheshimu lakini naona sasa anachotaka kuwaaminisha watanzania mara zingine kimekuwa na utata. Licha ya mimi kujitoa katika mijadala mingi inayohusu mambo hayo anayodanganya kwa kumheshimu, sasa naona haoni aibu.

Zitto ajitokeze sasa aseme kuwa hakumsaidia Mohamedi Dewji Mbunge wa Singida Mjini wakati wa uchaguzi Mkuu 2010, ajitokeze na Dewji Mwenyewe tuweke mjadala huu wazi kwa manufaa ya nchi yetu.

Nimechoka. Ukweli utatuweka huru, tunahitaji mabadiliko

Mkuu wewe ndo Isango ulieingizwa mkenge na zito jimbo la singida mjini? kama ni wewe najua utakuwa na mengi moyoni... hebu tiririka mkuu
 
Kweli wewe Zitto ni mzito hakika umekitikisa chama yapata mwezi sasa.

Baba yao mbowe analia,baba yao mdogo slaa analia,kaka yao lissu analia kila mkutano kisa wewe.

CHADEMA NI WAOGA SANA.

SASA NA HAWA BAVICHA WA ST AUGUSTINO NAO WANETUMWA KUKULILIA WAKATI MKUU WAO MBOWE ALIKUSHINDWA NA SLAA.

KWELI CHADEMA NI ZITTO.
 
Last edited by a moderator:
mkuu wewe ndo isango ulieingizwa mkenge na zito jimbo la singida mjini? Kama ni wewe najua utakuwa na mengi moyoni... Hebu tiririka mkuu

hivi kuna mtu anaweza kuamini utunzi wa bavicha?bavicha wa mebobea kwa kutunga. Huyo isango wenu hawezi kupambana na zitto kamwe. Kama anasoma mshaurini azingatie masomo chadema hawato msaidia labda kama anatarajia kupewa tenda ya kufatilia mitambo ya gongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom