Naomba mdahalo wa wazi wa CWT

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,251
5,322
Wakuu msichoke kuwajibika katika kujadili masuala sensitive kwa taifa letu,mimi kama mwananchi wa kawaida naomba tupatiwe nafasi ya kujadiliana juu ya hiki chama ambacho wengi wameingizwa bila ridha zao lakini pia wengine wamejiunga bila kujua terms na manufaa ya CWT,

Jambo lingine ni kujadili namna viongozi wa kitaifa wanavyopatikana mfano raisi,katika utafiti wangu kwa mikoa minne nimegundua wanachama wengi wanachukizwa na uendeshaji wake,wengine wameenda mbali kwa kuhisi hiki chama kinatumiwa na chama fulani lakini pia kimekua na matamko mengi yasiyotekelezwa.

Naomba wanachama wote nchini waungane katika hili.
 
Wata act kama kumbikumbi, wakisikia vishindo kamwe hawatoki shimoni
 
Tuliambiwa mwisho wa mwezi yaani mwezi wa kumi, walimu watafanya kitu ambacho hakijawahi kufanyika. Sasa leo tarehe zinasonga tu. Au ni mwezi wa kumi mwaka upi?
 
Back
Top Bottom