Naomba Mchungaji au mtumishi wa MUNGU yeyote anifanyie maombi nitoke kuzimu kwa shetani

Emmanuel Et

New Member
Apr 11, 2019
2
0
Bwana Yesu Asifiwe

Watumishi wa MUNGU naombeni msaada wenu haraka sana nipo katika hali ngumu.

Naomba mniombee nitoke kwa shetani.

Nipo katika ufalme wa shetani naombeni watumishi wa MUNGU mniombee haraka sana nitoke

Nahitaji dua zenu.

Nitashukuru sana kuwasiliana nanyi WhatsApp ili tuongee na mnifanyie maombezi ana kwa ana.

Za shukrani.

YESU ni uzima wetu.

MUNGU awabariki sana.
 
uko serious kweli usaidiwe
 
Mkuu, Ungeweka shida YAKO na Tatizo lako ingekuwa rahisi Sana kusaidiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Yesu Asifiwe

Watumishi wa MUNGU naombeni msaada wenu haraka sana nipo katika hali ngumu.

Naomba mniombee nitoke kwa shetani.

Nipo katika ufalme wa shetani naombeni watumishi wa MUNGU mniombee haraka sana nitoke

Nahitaji dua zenu.

Nitashukuru sana kuwasiliana nanyi WhatsApp ili tuongee na mnifanyie maombezi ana kwa ana.

Za shukrani.

YESU ni uzima wetu.

MUNGU awabariki sana.
KWANZA UWE MKWELI UNA SHIDA GANI HALAFU TUTAKUELEKEZA JINSI YA KUJINASUA
 
mkuu polee na hongera kwa kulijua hiloo, kuna wengne wana dhami ya kuwapenda hawa jamaa wa kijani lakn bd hawajajitambua, siku wakifka pale ki preft cha mbinguni na ahelaa haina haja ya kutafta daftari wasomewe ma dhambi yaoo,

utaskia tuu shetan akiita YUDAAAAAAAA? Ongeza kunii kuna huyuuu..
 
Hilo ndio tatizo langu ndugu yangu.
Naomba msaada wako sina nia mbaya.
Kristo shahidi yangu.
nenda in box nimekupa maelekezo, YESU akubariki na akupe msamaha , neno hili kutoka isaya 45:5 liwe faraja kwako nali lina sema '''Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu; nitakuimarisha ijapokuwa hukunijua; 6 ili wapate kujua toka maawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi ya mimi; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine. 7 Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.''''' UBARIKIWE SANA
 
Bwana Yesu Asifiwe

Watumishi wa MUNGU naombeni msaada wenu haraka sana nipo katika hali ngumu.

Naomba mniombee nitoke kwa shetani.

Nipo katika ufalme wa shetani naombeni watumishi wa MUNGU mniombee haraka sana nitoke

Nahitaji dua zenu.

Nitashukuru sana kuwasiliana nanyi WhatsApp ili tuongee na mnifanyie maombezi ana kwa ana.

Za shukrani.

YESU ni uzima wetu.

MUNGU awabariki sana.
ndugu usipoteze muda, kuna mchungaji anaitwa RICHARD MUSA,, kiboko hata ufiche siri kivipi anajua,hata ulogwe vipi vitachia
 
.
Pole sana mkuu... Naelewa hali uliyo nayo. Kuna wakati unatamani msaada lakini hujui uende wapi na ukikosea pa kwenda ukaenda kwa watumishi wa uongo, hao mabwana wa huko chini wanakumaliza.
.
Kama uko serious... Tafuta kanisa la Yesu ni Bwana na Mwokozi wa Mataifa Yote liko Mbezi Beach kituo cha Rafia.
.
Linaongozwa na Nabii Hebron.. Ingia YouTube tafuta mafundisho yake, naamini utapata Amani kwenda hapo. Wengi sana wamefunguliwa kutoka katika vifungo kama hivyo ikiwemo mtu wangu wa karibu sana... Mungu akulinde.

Back
Top Bottom