Naomba mchanganuo wa kufungua kampuni ya kufanya usafi maofisini

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
5,298
7,646
Wataalam Nawasalimu,

Nisiwachoshe niende straight to the point.Nahitaji kufungua kampuni ndogo,Ya kufanya usafi maofisini,Nitakuwa na ofisi ambayo itakuwa na wafanya kazi wa ofisini maybe wawili au watatu na wafanya usafi wenyewe,Nahitajika kuwa na nini ili niwe na kampuni kabla sijaajiri watu?Malipo ya leseni,jina la kampuni na kadhalika.Nashukuru kwa majibu mazuri mtakayonipa.
 
Kwanza kampuni yako inadidi isajiriwe BRELA
kama ulivosema unataka kampuni basi inabidi uwe na mambo yafuatayo
1.Wamiliki wasiopungua wawili pamoja na mgawanyo wa umiliki(shares)
2.Mahali walipo Wamiliki (physical location)
3.Sehemu unayotarajia biashara kuwepo(business location)
4.Utatakiwa kuandaa katiba ya biashara yako( kisheria inaitwa Memorandum and Article of Association)
5.Unaweza andaa mwenyee au ukatafuta Mwanasheria
6.Usajiri unafanywa online kupitia BRELA
7.Jina la kampuni lisilo fanana na kampuni yoyote iliyosajiliwa BRELA
8.Gharama ya usajili italingana na mtaji wako
9.Hatua zingine zinaweza fuata baada ya hii...km kutafuta leseni..TIN number n.k
10.Haya ni mawazo yangu wadau wengine wanakaribishwa kuchangia

Kwa msaada zaidi unaweza nipigia kupitia
0622676599

NoTE: Remember any business to succeed is all about branding and Serious planning
karibu Kwa msaada zaidi kama utaridhia ukinipa mahitaji yoote yahusuyo usajili wa kampuni ...naweza kukufanyia procedure zote unakabidhiwa kampuni mkononi(full legal documents) we unaipeleka ofisini
Ahsante
 
Back
Top Bottom