Naomba mawazo yenu, sielewi hatma ya maisha yangu

Au unataka nifungur nyingine😀..masukuma bwana😑
Screenshot_20210609-163028_Chrome.jpg
 
Watoto wanne ukadanganye mwanaume haujawahi kuzaa?!

Wanawake wengine wana guts za ajabu mno
Wapo sana..kuna mdada fundi cherehani ana watoto 4..mkubwa anamaliza chuo mwaka huu...akitongozwa anasema hana mtoto...sema mwili wake unambeba! Namshangaaga sana....why uue wanao!
 
Mdogo wangu, hatma ya maisha yako ipo mikononi mwa Mungu. Humu JF kuna watu wana mitihani ya kutisha sana.

Mimi ninapitia mambo mazito sana katika maisha yangu sasa hivi lakini I LOOK NORMAL on the outside. Ninapambana nikijua haya yatapita tu kwa nguvu za Mungu.

Pole legend, tuendelee Kupambana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom